Huu ni mwongozo rasmi wa matumizi ya mfumo uliotengenezwa kwa shule za msingi nchini Tanzania.
Mwongozo huu utakusaidia kuelewa jinsi ya kutumia vipengele mbalimbali vya mfumo kwa usahihi na ufanisi.
Ikiwa wewe ni mtumiaji mpya au unahitaji rejea ya haraka, mwongozo huu umeandaliwa kwa lugha rahisi na hatua kwa hatua.
Unaweza kufungua au kuhifadhi faili kwenye kifaa chako kwa matumizi ya baadaye.
Ukitaka kuingia kwenye mfumo sasa, bonyeza ukurasa umeandikwa Nyumbani au Ingia.